This entry was posted on June 8, 2010, 10:08 am and is filed under Tanzania. You can follow any responses to this entry through RSS 2.0.
You can leave a response, or trackback from your own site.
GOD bless them EDSON…AM THANKFUL TO THEM 4 THAT, COZ I GOT TO MEET U…WISH U ALL SUCCESS.. THIS WILL PROVE TO THEM THAT NO MORTAL POWER CAN PUT A STOP TO U…GOD BLESS U…
This song reminds me all temptations and hypocritic people I met through out my life especially from the year 2000 then after at Tegeta High School-Dar es Salaam 2006-2008. Today, HERE I AM….those people wishes, there could be a pit to hide their faces unfortunately they cant find one. MAJARIBU NI MTAJI. The more curses came out of their mouths, the more I got blessed. MAY GOD BLESS YOU BUKUKU…I am encouraged by your songs. My name is EDSON HUBERT BANKOBEZA- INDIA.
Amen Tunaye mtumishi Bahati Bukuku hapa Mtibwa Turiani kuanzia Tarehe 08/09/ – 13/09/2009 ktk cruised,Mungu amempe uimbaji ili watu waokolewe kupitia uinjilisti wake dada Bahati.Jina la Bwana Lihimidiwe
Jina la Bwana libarikiwe, Uimbaji ni uinjilist,hapa mimi nimejifunza kwamba katika maisha yetu ya wokovu tunapokutana na magumu hata yawe magumu kiasi gani ,tunatakiwa tumtegemee Mungu na kumcha yeye haijalishi yanatujia mara ngapi,tunahitajika kumlialia Bwana,
Mungu akubariki akutie nguvu maradufu (uweza wa roho mtakatifu)na kukufanikishia hata kama magazeti yakinena mabaya juu yako songa mbele usimwache Bwana kwa kuwa ameshakusikia kwa kumlialia yeye akusaidie,Ninabarikiwa saana na wimbo huu.
Oh. Here goes my girl with her perfect music. God bless you big. Good uplifting music for the hearts in battle. Yesu ndiye Jemedari wa vita. Tutashinda dada.
MUNGU akubariki Dada kwa nyimbo zako ambazo wakti wote huwa na ujumbe mzito. uimbaji wako ni wa ajabu!Ni mtu aliye ndani ya YESU pekee anaweza ona uzito na umuhimu wa jumbe zako hizi; hakika! Keep abiding in the WORD and GOD Himself shall fight by your side nawe utayashinda majaribu yote. kumbuka vita ni vya BWANA!
God bless you my sister for this message,let the God Almighty continue to use you through this talent for His Glory, Amen.Only by His Intervation in our live we are more than Conqueror
#1 by agnes2620 on June 8, 2010 - 10:27 am
Quote
Jamani Mungu mwema huwa anatutia nguvu kupitia nyimbo za huyu dada Bahati napenda sana nyimbo zako na Mungu azidi kukubariki na akupe mwisho mzuri
#2 by wamwaneriri on June 8, 2010 - 10:51 am
Quote
Asante. Machozi yananitoka kwa uzuri wa sauti na ujumbe.
#3 by MbLaU84 on June 8, 2010 - 11:18 am
Quote
i love her songs particularly ‘WARAKA WA HAMANI’….nakuomba uu-upload tafadhali.
#4 by nyangyda on June 8, 2010 - 11:54 am
Quote
its cool
#5 by phestoem on June 8, 2010 - 11:56 am
Quote
@usaniinaizesheni Yes I do, I will try to post it here…Regards.
#6 by usaniinaizesheni on June 8, 2010 - 12:14 pm
Quote
Thanks much for posting this! Do you have her song “Esther”?
#7 by macho1569 on June 8, 2010 - 12:41 pm
Quote
Bahati najuwa Mungu ata kutiya nguvu , uko na amani.
#8 by pereiraann on June 8, 2010 - 1:10 pm
Quote
GOD bless them EDSON…AM THANKFUL TO THEM 4 THAT, COZ I GOT TO MEET U…WISH U ALL SUCCESS.. THIS WILL PROVE TO THEM THAT NO MORTAL POWER CAN PUT A STOP TO U…GOD BLESS U…
#9 by Bankobezah on June 8, 2010 - 1:11 pm
Quote
This song reminds me all temptations and hypocritic people I met through out my life especially from the year 2000 then after at Tegeta High School-Dar es Salaam 2006-2008. Today, HERE I AM….those people wishes, there could be a pit to hide their faces unfortunately they cant find one. MAJARIBU NI MTAJI. The more curses came out of their mouths, the more I got blessed. MAY GOD BLESS YOU BUKUKU…I am encouraged by your songs. My name is EDSON HUBERT BANKOBEZA- INDIA.
#10 by TheNdina on June 8, 2010 - 1:14 pm
Quote
this song always keep me going ahead. maana majaribu ni ya muda tu ndugu zangu, ni yesu pekee ndiye aliye na upendo wa kweli
#11 by nkurufi on June 8, 2010 - 2:01 pm
Quote
Amen Tunaye mtumishi Bahati Bukuku hapa Mtibwa Turiani kuanzia Tarehe 08/09/ – 13/09/2009 ktk cruised,Mungu amempe uimbaji ili watu waokolewe kupitia uinjilisti wake dada Bahati.Jina la Bwana Lihimidiwe
#12 by nkurufi on June 8, 2010 - 2:05 pm
Quote
Jina la Bwana libarikiwe, Uimbaji ni uinjilist,hapa mimi nimejifunza kwamba katika maisha yetu ya wokovu tunapokutana na magumu hata yawe magumu kiasi gani ,tunatakiwa tumtegemee Mungu na kumcha yeye haijalishi yanatujia mara ngapi,tunahitajika kumlialia Bwana,
Mungu akubariki akutie nguvu maradufu (uweza wa roho mtakatifu)na kukufanikishia hata kama magazeti yakinena mabaya juu yako songa mbele usimwache Bwana kwa kuwa ameshakusikia kwa kumlialia yeye akusaidie,Ninabarikiwa saana na wimbo huu.
#13 by kalumbeta on June 8, 2010 - 3:01 pm
Quote
Oh. Here goes my girl with her perfect music. God bless you big. Good uplifting music for the hearts in battle. Yesu ndiye Jemedari wa vita. Tutashinda dada.
#14 by Tegemila on June 8, 2010 - 3:50 pm
Quote
MUNGU akubariki Dada kwa nyimbo zako ambazo wakti wote huwa na ujumbe mzito. uimbaji wako ni wa ajabu!Ni mtu aliye ndani ya YESU pekee anaweza ona uzito na umuhimu wa jumbe zako hizi; hakika! Keep abiding in the WORD and GOD Himself shall fight by your side nawe utayashinda majaribu yote. kumbuka vita ni vya BWANA!
#15 by mwambone on June 8, 2010 - 4:29 pm